The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,360
- 6,922
Mambo ni mengiUnaziona kwasababu ni active watu wanaendelea kuchangia.
Kwahiyo kutotaka kuona hizo ni ushamba wako tu
Kaburi limefukuliwa katika uzi sipendi kuingia ni kula kimasikhara wa rikiboyNinavyoona humu mtu akichangia kwenye nyuzi ya zamani uzi huo unanyanyuka tena
Huhitaji kuingia humo pita na mambo mengineKaburi limefukuliwa katika uzi sipendi kuingia ni kula kimasikhara wa rikiboy
nashukuru mkuu, nafanya hivyo ika zinajirudia sana hata ambazo sija subscribe kwazo waha hata siazifunguaUnsubscribe
Zinakuwa updated nadhaninashukuru mkuu, nafanya hivyo ika zinajirudia sana hata ambazo sija subscribe kwazo waha hata siazifungua
Sijawahi kuingia huko na sitokuja niingieHuhitaji kuingia humo pita na mambo mengine
ReloadMpigie Melo akupe muongozo , usisumbue watu hapa !
Upo hapa ziadi ya miaka 6 hujui kwamba thread ikizidi kupata engagement bado inakuwa active ? Na utaiona ?
Reload inaleta nyingine ambazo hujaonaKuna manyuzi humu ni kama CCM. nga'ang'anizi hatari.
SawaSijawahi kuingia huko na sitokuja niingie