Ushawahi kutumia dawa za kuongeza nguvu?Halilali. Linakaa hivyohivyo mpaka usingizi ukipita ndio ninanyauka lenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo mkuu. Kuna kipindi niliambiwa nina tatizo la uume kusinyaa sababu ya kuongezeka mwili. Nikapewa dawa za wiki 16.Ushawahi kutumia dawa za kuongeza nguvu?
Je, unapo tom..ba unapata hisia kwenye uume?
Sent using my Nokia Torch
hahaha mmmhMkuu kuwa serious, hupigi bao?
Sasa dushe linalala vipi maana humalizi.
Sent using my Nokia Torch
Vipi umekuwa ukitumia dozi kipindi hiki? Anyway, kula sana matunda pamoja na maji uwe unakunywa ya kutosha...hili tatizo lilishawahi nipata kiasi kwamba natumia muda mrefu kucheza mechi ila no output, na ilitokea baada ya kuumwa sana na kutumia madawa makali.Wakuu nimekuwa nafanya mapenzi lakini sifiki kileleni. Hata kama nikeshe usiku kucha lakini simwagi.
Nina wake wawili sasa huyu bi mdogo niliyemwoa mwaka jana analalamika sana. Anataka mtoto lakini mbegu za kumbebesha mimba ndio hazipatikani.
Naomba ushauri wa kitabibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
AsanteVipi umekuwa ukitumia dozi kipindi hiki? Anyway, kula sana matunda pamoja na maji uwe unakunywa ya kutosha...hili tatizo lilishawahi nipata kiasi kwamba natumia muda mrefu kucheza mechi ila no output, na ilitokea baada ya kuumwa sana na kutumia madawa makali.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Professor Jay....kula vizuri, fanya mazoezi, pumzisha mwili wako. Ukizingatia haya utaishi kwa matumaini.
By the way unayo nafasi hebu jiamini.
Mola aliyeniumba sasa nishamkosea
Hata ardhi na mbingu naona zinanizomea
Malaika wa adhabu kwa hamu wananingojea
Koh koh koh koh
Nikifika huko nani atanipokeaaaaaa
Aaaaaaaaaaaaa
Sent using my Nokia Torch
Duuuh wewe ni mgonjwa wahi hospital haraka sanaWakuu nimekuwa nafanya mapenzi lakini sifiki kileleni. Hata kama nikeshe usiku kucha lakini simwagi.
Nina wake wawili sasa huyu bi mdogo niliyemwoa mwaka jana analalamika sana. Anataka mtoto lakini mbegu za kumbebesha mimba ndio hazipatikani.
Naomba ushauri wa kitabibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asantetumia juice ya Tende changanya na Maziwa pia tumia h sauda changanya na tangawizi mdalasini na asali uwe una lamba kijiko 3 kutwa mara tatu
Sent using Jamii Forums mobile app
NAKAZIA [emoji23][emoji23]Mwambie mmeo akuandae vizuri.
utabaki juu mawinguni malyengeePiere anaweza kukusaidia, malyengeeee daaah utabaki kuwa juu, utabaki kileleniii, maamaaa nakufaa utabaki juu, chiiiii
Sent using Jamii Forums mobile app