Msaada: Nafanya Mapenzi lakini sifiki kileleni

Msaada: Nafanya Mapenzi lakini sifiki kileleni

Ushawahi kutumia dawa za kuongeza nguvu?
Je, unapo tom..ba unapata hisia kwenye uume?

Sent using my Nokia Torch
Ndiyo mkuu. Kuna kipindi niliambiwa nina tatizo la uume kusinyaa sababu ya kuongezeka mwili. Nikapewa dawa za wiki 16.
Hisia nasikia kama kawaida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu nimekuwa nafanya mapenzi lakini sifiki kileleni. Hata kama nikeshe usiku kucha lakini simwagi.
Nina wake wawili sasa huyu bi mdogo niliyemwoa mwaka jana analalamika sana. Anataka mtoto lakini mbegu za kumbebesha mimba ndio hazipatikani.
Naomba ushauri wa kitabibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi umekuwa ukitumia dozi kipindi hiki? Anyway, kula sana matunda pamoja na maji uwe unakunywa ya kutosha...hili tatizo lilishawahi nipata kiasi kwamba natumia muda mrefu kucheza mechi ila no output, na ilitokea baada ya kuumwa sana na kutumia madawa makali.
 
Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Professor Jay....kula vizuri, fanya mazoezi, pumzisha mwili wako. Ukizingatia haya utaishi kwa matumaini.
By the way unayo nafasi hebu jiamini.

Mola aliyeniumba sasa nishamkosea
Hata ardhi na mbingu naona zinanizomea
Malaika wa adhabu kwa hamu wananingojea
Koh koh koh koh
Nikifika huko nani atanipokeaaaaaa
Aaaaaaaaaaaaa

Sent using my Nokia Torch
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Wakuu nimekuwa nafanya mapenzi lakini sifiki kileleni. Hata kama nikeshe usiku kucha lakini simwagi.
Nina wake wawili sasa huyu bi mdogo niliyemwoa mwaka jana analalamika sana. Anataka mtoto lakini mbegu za kumbebesha mimba ndio hazipatikani.
Naomba ushauri wa kitabibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh wewe ni mgonjwa wahi hospital haraka sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tafuta Malaya kurumbembe anayetoa Hadi mkundu mjifungie mahali tuone shida ni wake zako au nini
 
Back
Top Bottom