mwali wa giningi Member Joined Nov 14, 2013 Posts 67 Reaction score 42 Apr 23, 2015 #1 Nawezaje kupata mkopo benki kwa kutumia hati ya urithi naomba maelekezo, kwa mwenye uelewa
Easyway JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 2,606 Reaction score 3,710 Apr 24, 2015 #2 Una biashara, kuwa na dhamana tu si kigezo cha kukopeshwa. Bank zina masharti magumu sana kwa mtu anayeanza kukopa, watakuuliza mtiririko wako wa pesa,bank statement nk. Hata hivyo tembelea bank iliyokaribu nayo kwa ushauri zaidi.
Una biashara, kuwa na dhamana tu si kigezo cha kukopeshwa. Bank zina masharti magumu sana kwa mtu anayeanza kukopa, watakuuliza mtiririko wako wa pesa,bank statement nk. Hata hivyo tembelea bank iliyokaribu nayo kwa ushauri zaidi.