Msaada: Nafanyaje kupata Mkopo?

Msaada: Nafanyaje kupata Mkopo?

Una biashara, kuwa na dhamana tu si kigezo cha kukopeshwa.
Bank zina masharti magumu sana kwa mtu anayeanza kukopa, watakuuliza mtiririko wako wa pesa,bank statement nk. Hata hivyo tembelea bank iliyokaribu nayo kwa ushauri zaidi.
 
Back
Top Bottom