Kumbuka Hana Akili za Kutosha na Hana Nguvu z Kusimama mwenyewe.. kamuone Dokta kama Utakuw Na Wasiwasi zaidiKadri anavyozidikukua naona nikimsimamisha mguu mmoja anasimamia vizur ila mwingne anaukunja,badala ya kusimamia kiganja cha mguu yeye analazimisha kusimamamia juu,,naombeni msaada,je kunauwezekano wakurudia hali ya kawaida au mpaka kunyooshwa hisptali.karibuni,Mods mnisaidie kui Update hii thread ikae vizuri..
Ngoja nione muda unavyoenda,,maana yanaogopesha sana haya mambo,hasa kwa ambao hatujawahi kutana na hizo changamoto.Hiyo ni kawaida mkuu. Nakumbuka dogo akiwa na umri kama huo mamake alidai mguu mmoja kama unaulemavu, lakini muda ulivyokwenda haikuwa hivyo na sasa hivi anadunda tu kitaa
Ni kawaida sana hiyo tena huyo bado mdogo. Mifupa haijakomaa pia bado ana ile hali ya kujikunja kunja vimiguu as if bado yupo tumboniNgoja nione muda unavyoenda,,maana yanaogopesha sana haya mambo,hasa kwa ambao hatujawahi kutana na hizo changamoto.
Hapo nimekusoma mkuu,vinaendana..Atleast moyo wangu umeshuka,maana huku mtaani kuna ananambia sijui kuna madude gani huwa wanafungwa ili mguu uzoee.Ni kawaida sana hiyo tena huyo bado mdogo. Mifupa haijakomaa pia bado ana ile hali ya kujikunja kunja vimiguu as if bado yupo tumboni
sasa umri wote huo chief unataka kuniambia hujawai kuona watoto wanakiwa wadogo wanakuwaje!!28 mkuu.
To be sure bora umpeleke CCBRT kwa ajili ya uchunguzi. Wachana na hao madaktari pori wa uswaziHapo nimekusoma mkuu,vinaendana..Atleast moyo wangu umeshuka,maana huku mtaani kuna ananambia sijui kuna madude gani huwa wanafungwa ili mguu uzoee.
Shukrani sana mkuu kwa kunijenga,No one is perfect kwenye kila kitu,labda na ugeni wa haya mambo mkuu..sasa umri wote huo chief unataka kuniambia hujawai kuona watoto wanakiwa wadogo wanakuwaje!!
japo sijakataa inawezekana kwa mtoto mdogo kuonekana na baadhi ya dalili za mifupa kutokuwa sawa, lkn kwa hilo la wewe kujaribu kumsimamisha mtoto wako wa miezi 2 sio sawa,
kama ulikuwa na wasiwasi pia na hujaweza kwenda kwa daktari ungekaa na mama yako/mkwe kidogo hao wanauzoefu..
kingine brother usipende sana kuwa na mawazo hasi kwa mtoto wako...hata kama ndio wasiwasi ukabairi kiume, wenzako wanapata watoto njiti lkn wanawawazia mazuri hadi mtoto anakuwa stable....sasa wewe mtoto njiti ungeweza hata kumuangalia kweli.
pole lkn maana ndio uzao wa kwanza utazoea tu.
karibuShukrani sana mkuu kwa kunijenga,No one is perfect kwenye kila kitu,labda na ugeni wa haya mambo mkuu..
Kingine sina uzoefu saaana na watoto wadogo maana unajua tena kutokukaa karibu na nyumbani kwahiyo hata kupata nafasi ya kushika watoto wachanga ni ngumu.Namwazia mengi sana mazuri,basi tu wasiwasi mkuu..Ila nashukuru sana kwa kunijenga.
Miezi miwili anasimama vp mzee mzima.. Mbona bado mdogoKadri anavyozidikukua naona nikimsimamisha mguu mmoja anasimamia vizur ila mwingne anaukunja,badala ya kusimamia kiganja cha mguu yeye analazimisha kusimamamia juu,,naombeni msaada,je kunauwezekano wakurudia hali ya kawaida au mpaka kunyooshwa hisptali.karibuni,Mods mnisaidie kui Update hii thread ikae vizuri..
Mganga wa kienyeji au wa hospitali?Piga 0737141543
Utamsababishia mtoto matege na kibiongo mzee babaWakati wa kuchezacheza nae,siyo kumwachia mzimamzima..naona kila siku anafanya hiyo hali.
Mkuu mpeleke kwa mtaalamu wa watoto. Usiogope gharama hata kwa kukopa.Kadri anavyozidikukua naona nikimsimamisha mguu mmoja anasimamia vizur ila mwingne anaukunja,badala ya kusimamia kiganja cha mguu yeye analazimisha kusimamamia juu,,naombeni msaada,je kunauwezekano wakurudia hali ya kawaida au mpaka kunyooshwa hisptali.karibuni,Mods mnisaidie kui Update hii thread ikae vizuri..
Mpeleke kwa paediatrician ambae baadae atakuelekeza kwa orthopedic department uko tatizo lako litashughulikiwa vyemaKadri anavyozidikukua naona nikimsimamisha mguu mmoja anasimamia vizur ila mwingne anaukunja,badala ya kusimamia kiganja cha mguu yeye analazimisha kusimamamia juu,,naombeni msaada,je kunauwezekano wakurudia hali ya kawaida au mpaka kunyooshwa hisptali.karibuni,Mods mnisaidie kui Update hii thread ikae vizuri..