Acha kabisa hali itarudi kuwa normal ndani ya siku 90Nina kama miaka 10 tangu nijiunge kwenye chama cha CHAPUTA...nimeshajaribu sana kujitoa lakini nashindwa..
Hii...Puri naona inaanza kuniletea shida ,nikiwa ndani ya uwanja wa 6/6...mpenzi wangu namuandaa vya kutosha mpaka anakuw hoi...ila mimi Nakuwa sina hisia kabisa ...najilazimisha kuwa na hisia lakn nashindwa....hisia inakuja kiasi then inapotea .....MSAADA WENU NDUGU ZANGU...NAONA APA NAELEKEA KUDHARIRIKA..
Jitahidi usijichue na ukijisikia tafuta mwanamke utapona trust meNdani ya siku 90...nitakuwa normal kweli?
Ndio ili kukuokoa na punyetoikitokea nikawa na hamu ghafla nitafute mwanamke hapo hapo?