Msaada: Nahisi kujichua kumeniathiri

Msaada: Nahisi kujichua kumeniathiri

Pole sana mkuu kwa hilo swala siokuacha swala ni kwa nini uliingia huko ukizijua sababu ndio utaacha ila kama sababu zilizokupelekea kufanya hivyo hujazitatua bado utakuwa kwenye hiyo shida mfano acha kuangaria mikanda ya ngono zinashawisha sna chaputa
 
Umedumu katika chama kwa muda mrefu sana aisee
 
Pole sana mkuu kwa hilo swala siokuacha swala ni kwa nini uliingia huko ukizijua sababu ndio utaacha ila kama sababu zilizokupelekea kufanya hivyo hujazitatua bado utakuwa kwenye hiyo shida mfano acha kuangaria mikanda ya ngono zinashawisha sna chaputa
kweli...nishaacha
 
Counseling inaanzia kwako mwenyewe jua kuwa unapopiga punyeto kuna roho unafanya nayo mapenzi pasipo wewe kujua kama unamridhisha yeye .Hii imekaa kiimani mwambie Mungu akusaidie na ukatae kwa kinywa chako kwa kumaanisha .Iambie hiyo roho imekutumikisha muda mrefu sasa umechoka mwili wako sio mahali pake tena .Kemea kwa kumaanisha .All the best.
amina
 
10 yrs bila kuhama timu?..tisha sana mkuu, unastahili kuwa nahodha wa kikosi kikali cha Chaputa FC..
 
tatizo mnapiga kwa sifaa piga kimoja kwa afya tena kwa mwezi tafuta kazi ikuweke bize na usipende kuangalia ngono maana inavishawishi sana na usikaee peke yako
 
Nina kama miaka 10 tangu nijiunge kwenye chama cha (CHAPUTA), nimeshajaribu sana kujitoa lakini nashindwa.

Hii hali ya kujichua naona inaanza kuniletea shida, nikiwa ndani ya uwanja wa 6/6 mpenzi wangu namuandaa vya kutosha mpaka anakuwa hoi ila mimi nakuwa sina hisia kabisa najilazimisha kuwa na hisia lakini nashindwa hisia inakuja kiasi then inapotea.

Msaada wenu ndugu zangu, naona apa naelekea kudhalilika.
Nitafute kwa wakati wako nipate kukutibia ili uweze kupona.
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu
 
Naomba uweke hapa hapa picha nione hali ya kadushe kako kwa sasa kalivyo..then nitakushauri ufanyeje.

Nb . usiogope kuweka hapa picha wewe ni mgonjwa mods wataelewa. ,hakuna Dr anaweza kutoa dawa bila kuona. jf we dare to talk openly.
twende PM
 
ndugu nunua mchicha na bamia uchemshe bila nyanya wala kitunguu, hata chumv usiweke kula na ugali deile, baada ya wiki, anza mechi uone balaa lake, usiache

shukrani
 
Mkuu ukaingiza dushe kwenye papuchi afu hukusikia chochote!!!??? Itakuwa umeua vile vijipele vilivyoko mbele ya dushe. Vile vikifa ndio basi tena arifu.
ukisema vipele sijui vimekufa naweza kukataa...Mbona kwenye puri napiga fresh tu bila shida yoyote
 
ndugu nunua mchicha na bamia uchemshe bila nyanya wala kitunguu, hata chumv usiweke kula na ugali deile, baada ya wiki, anza mechi uone balaa lake, usiache

shukrani
mmh iyo ngumu kumeza mkuu
 
Back
Top Bottom