dripu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2017
- 1,310
- 1,141
Pole sana mkuu kwa hilo swala siokuacha swala ni kwa nini uliingia huko ukizijua sababu ndio utaacha ila kama sababu zilizokupelekea kufanya hivyo hujazitatua bado utakuwa kwenye hiyo shida mfano acha kuangaria mikanda ya ngono zinashawisha sna chaputa