Msaada: Nahisi kujichua kumeniathiri

acha tu... ukipata hamu ya punyeto kaa karibu na mkeo mfanye yenu... ukiweza kukaa hivyo miezi miwili utakuwa umepona zaidi yangu maana mi mwenzio sina mke hivyo siachi..!!!
nitavumilia kwa miezi miwili...nione kama nitarecover
 
Hofu, hofu ni mbaya sana kwenye tendo pendwa. Acha kusingizia nyeto we sema una hofu unapokutana uso kwa uso na papuchi
 
we jamaa unazingua sana ujue yaani miaka 10 unalalama hivyo? Watu tuko kwenye chama yapata mwaka wa 23 huu na hakuna chochote kile.

Halafu nyie mnao kuwa mnasingizia kuwa Punyeto inaleta madhara tutakuja washitaki. Unashindwa kumudu hilo tendo ama kumfanya mkeo vizuri ni sababu ya HOFU hakuna kingine. Hebu ondoa hofu katika ubongo na akili yako pindi ukiwa katika tendo hilo uone kama hutomudu vizuri. Kuwa huru acha uoga na kuifanya akili yako aiwezi kitu fulani. Si kila siku mnasingizia Punyeto.
 
ni tamu kweli....ila ina madhara kitandani
kweli kabisa cha kifanya acha puli, then kula vyakula asili kama mihogo ya kuchemsha, magimbi, karanga, tafuna vitunguu swaumu, pia vitunguu maji. hamu na stamina itarudi kitandani. pia fanya mazoezi kidogo
 
Left kwenye group la pono ulilojiunga, futa picha zote za uchi kwenye cm au pc alaf ucpende kukaa peke ako lakn pia usitumie mda mwng choon au bafun na mwisho muombe sana MUNGU akutoe kwenye icho chama... itakusaidia sana kuachana na iyo ligi
 
Counseling inaanzia kwako mwenyewe jua kuwa unapopiga punyeto kuna roho unafanya nayo mapenzi pasipo wewe kujua kama unamridhisha yeye .Hii imekaa kiimani mwambie Mungu akusaidie na ukatae kwa kinywa chako kwa kumaanisha .Iambie hiyo roho imekutumikisha muda mrefu sasa umechoka mwili wako sio mahali pake tena .Kemea kwa kumaanisha .All the best.
 
Sasa wewe unashangaa miaka 10 mimi nimepiga puli tangu 1987 hadi 2003 nilipooa nikapunguza ila sidhani kama nimeacha, kwa kuwa nikiwa mbali na wife au mchepuka napiga puli
Daaahhhhhhhhh[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…