Msaada: Nahisi mwilini nina sumu

Msaada: Nahisi mwilini nina sumu

Kweli mkuu utakuwa hauko sawa halafu uko mkoa gani labda,kama uko ukerewe ukianza kukohoa kikoozi kikavu jua ndio baibai
Nasikia kakonko nako ni mwendo wa kuwekeana sumu..panaitwa poison city.

#MaendeleoHayanaChama
 
Jitibu af uwe makini na unachokula + usinywe maji ambayo hayajachemshwa.

Achana na imani za kishirikina
Sio imani za kishirikina dada, kwani mtu hawezi kukuwekea sumu kwenye chakula? Kama hakupendi
 
tumia hii dawa utanishukuru sana .imemsaidia mama yangu na wengine
IMG_6268.jpg
 
Nenda hospital waambie kabisa wapime toxicity test. Hosp kubwa zipo. Are you serious with your life? Wakati huo huo tafuta herbs za detoxification. Anza na ndimu kamulia kwenye mug weka na maganda yake weka maji Moto kunywa asubuhi kabla ya Kula kitu chochote. Ukiweza kuwa nayo kwenye maji muda wote. Pia madafu na rango. Pia blending ya green vegetable smoothie. Then unaongeza herbs taratibu zipo nyingi Tu. Huku unapambana kitaalam Ku detect any poisoning.
 
Mindset ya kuchukiwa ofisini ni jambo la kawaida sana, potezea coz wewe umeenda ofisini kupiga kazi, achana na stori zao na maisha yao wewe piga kazi. Concentration yako iwe kwenye kazi tu, mengine achana nayo.

Penye riziki hapakosi fitina na chuki.
Wenzako huwa tunapotezea tu, na maisha yanaenda fresh tu. "Chuki kazini ni kawaida kwenye Big organizations"

Kuhusu sumu, nenda hospitali ukafanye check-up utajua nini shida na utapata matibabu.
 
Nenda hospital kwanza achana na imani potofu....hapo kinachokumaliza ni stress zahofu ya kujitakia
 
Nenda hospital waambie kabisa wapime toxicity test. Hosp kubwa zipo. Are you serious with your life? Wakati huo huo tafuta herbs za detoxification. Anza na ndimu kamulia kwenye mug weka na maganda yake weka maji Moto kunywa asubuhi kabla ya Kula kitu chochote. Ukiweza kuwa nayo kwenye maji muda wote. Pia madafu na rango. Pia blending ya green vegetable smoothie. Then unaongeza herbs taratibu zipo nyingi Tu. Huku unapambana kitaalam Ku detect any poisoning.
Shukran
 
Mwongozo wa gharama zake vipi?

Ndio

natumia doz bado sijamaliza, kinachonipa hofu pia ni kupungua mwili ndani ya muda mfupi.
Pole sana. Malizia dozi yako kisha ukafanye tena checkup ya mwili mzima. Lakini yawezekana huo wasiwasi ulionao unainyongonyesha/unadhoofisha afya yako kwa namna moja ama nyingine. Jitahidi ku-relax, fanya mazoezi, kula vizuri na kunywa maji ya moto asubuhi na usiku kabla ya kulala.
Mungu akufanyie wepesi ndugu.
 
Asante sana
 
Back
Top Bottom