jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Nasikia kakonko nako ni mwendo wa kuwekeana sumu..panaitwa poison city.Kweli mkuu utakuwa hauko sawa halafu uko mkoa gani labda,kama uko ukerewe ukianza kukohoa kikoozi kikavu jua ndio baibai
Nimepima wakanikuta na amoebaKwahyo ukagoma kupima
Jitibu af uwe makini na unachokula + usinywe maji ambayo hayajachemshwa.Nimepima wakanikuta na amoeba
Sio imani za kishirikina dada, kwani mtu hawezi kukuwekea sumu kwenye chakula? Kama hakupendiJitibu af uwe makini na unachokula + usinywe maji ambayo hayajachemshwa.
Achana na imani za kishirikina
tumia hii dawa utanishukuru sana .imemsaidia mama yangu na wengineView attachment 2191905
Inapatikana wapi?
Vipi umeshatibu amoeba? Kama bado ni vyema ukapata matibabu kwanza uone afya yako itaimarika au la.Nimepima wakanikuta na amoeba
natumia doz bado sijamaliza, kinachonipa hofu pia ni kupungua mwili ndani ya muda mfupi.Vipi umeshatibu amoeba? Kama bado ni vyema ukapata matibabu kwanza uone afya yako itaimarika au la.
ShukranNenda hospital waambie kabisa wapime toxicity test. Hosp kubwa zipo. Are you serious with your life? Wakati huo huo tafuta herbs za detoxification. Anza na ndimu kamulia kwenye mug weka na maganda yake weka maji Moto kunywa asubuhi kabla ya Kula kitu chochote. Ukiweza kuwa nayo kwenye maji muda wote. Pia madafu na rango. Pia blending ya green vegetable smoothie. Then unaongeza herbs taratibu zipo nyingi Tu. Huku unapambana kitaalam Ku detect any poisoning.
Nenda hospital waambie kabisa wapime toxicity test. Hosp kubwa zipo. Are you serious with your life? Wakati huo huo tafuta herbs za detoxification. Anza na ndimu kamulia kwenye mug weka na maganda yake weka maji Moto kunywa asubuhi kabla ya Kula kitu chochote. Ukiweza kuwa nayo kwenye maji muda wote. Pia madafu na rango. Pia blending ya green vegetable smoothie. Then unaongeza herbs taratibu zipo nyingi Tu. Huku unapambana kitaalam Ku detect any poisoning.
Mawazo, stress lazima mwili upungueNdio
natumia doz bado sijamaliza, kinachonipa hofu pia ni kupungua mwili ndani ya muda mfupi.
Pole sana. Malizia dozi yako kisha ukafanye tena checkup ya mwili mzima. Lakini yawezekana huo wasiwasi ulionao unainyongonyesha/unadhoofisha afya yako kwa namna moja ama nyingine. Jitahidi ku-relax, fanya mazoezi, kula vizuri na kunywa maji ya moto asubuhi na usiku kabla ya kulala.Ndio
natumia doz bado sijamaliza, kinachonipa hofu pia ni kupungua mwili ndani ya muda mfupi.
Asante sanaPole sana. Malizia dozi yako kisha ukafanye tena checkup ya mwili mzima. Lakini yawezekana huo wasiwasi ulionao unainyongonyesha/unadhoofisha afya yako kwa namna moja ama nyingine. Jitahidi ku-relax, fanya mazoezi, kula vizuri na kunywa maji ya moto asubuhi na usiku kabla ya kulala.
Mungu akufanyie wepesi ndugu.