Msaada: Nahisi nina infection kwenye urethra

Msaada: Nahisi nina infection kwenye urethra

Una ushauri wa kifedhuli sana, yani kiufupi hufai katika jamii, unaweza kuchonganisha wanafamilia wewe,
Jichunguze tena tabia yako halafu waangalie na wanaume wenzio waliokamilika wakoje,
(utaona hata kwenye michango yao hapo juu)

IF I HURT YOUR FEELINGS, I'M SORRY.[emoji16]
Ni mawazo yako na siwezi kukasirika. Kwa ufahamisho zaidi soma hapa kabla ya kuniita fedhuli "Switching from Anal to Vaginal Sex..How Dangerous?": Sexual Health Community - Support Group
 
Nini sababu ya urethra infections na tiba yake ni nini? Maana my urethra is rough na tiba ya UTI nimepata lakini bado nahisi kama maumivu wakati wa kukojoa. Nikiwa sikojoi nasikia kamuwasho kidogo natamani kujikuna lakini siwezi.
Hebu kijana onyesha tofauti ya mlemavu wa akili na mwenye akilitimilifu kwani kwangu thread yako ni completely utumbo na kutupotezea muda.
Kama kweli unaumwa nenda hospitali kwenye vipimo zaidi magonjwa ni mengi zaidi ya UTI,Gonorhoea,Syphils,Apes etc. na habari ya ramli humu JF acha kutupotezea Great Thinkers concentration ya mambo makubwa yanayo sibuTaifa kwa sasa.
 
Hihihihiiiiiiiii......
 
Back
Top Bottom