Msaada, nahitaji kuagiza pikipiki aina ya honda adv 2021

nyokaa

Senior Member
Joined
Dec 21, 2011
Posts
108
Reaction score
139
Habari wakuu! Mwenye kujua website au page za watu wanao deal na kuagiza pikipiki nje anisaidie, nahitaji kuagiza Honda Adv ya 2021

images%20(27).jpg
 
Hiyo piki piki kwa hapa SA unapata Audi Q 3 au Q 5 mbili piki piki moja ya 2021...
 
Habari wakuu! Mwenye kujua website au page za watu wanao deal na kuagiza pikipiki nje anisaidie, nahitaji kuagiza Honda Adv ya 2021

View attachment 2507489
Nenda zanzibar hapo zimejaa za kutosha kwa wauzaji tofauti tofauti,huwa wanazitoa thailand na indonesia.kwa hiyo ya 2021 ya 150cc wanauza kuanzia 7,500,000 hapo bila ushuru wa bandarini n a usajili wa tra.
 
Honda Adventure (Adv) ni 10m+ kununua bila usafiri mpaka Tanzania. Zanzibar zipo Honda Click ndio hizo bei za 7m
 
Back
Top Bottom