Fridahlema
Member
- Nov 1, 2021
- 8
- 3
Naombeni msaada wa hilo swali plz kwani sielewi mpaka sasa nifanye nini angali sijapata registration no ya chuo kutokana na kukosa ada ya kujisajili na form ya kuappel kuna kipengele cha kujazwa reg no
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh sawa hii changamotoNenda kajisajil tofauti na hapo sidhani kama kuna njia.
Naombeni msaada wa hilo swali plz kwani sielewi mpaka sasa nifanye nini angali sijapata registration no ya chuo kutokana na kukosa ada ya kujisajili na form ya kuappel kuna kipengele cha kujazwa reg no
IAA wao wanasema no ya registration mpk uwe umefanya usajil ndo upewe noHuna Reg no kivp...Kila mtu ana reg no ata kama hajasajiliwa
Uko Chuo Gani..!?
Upo IAA compas ip.?IAA wao wanasema no ya registration mpk uwe umefanya usajil ndo upewe no
ArushaUpo IAA compas ip.?
Kwa arusha wapo waliopata ila dar sijaonaUshafatilia ukajua kwamba kwanimi wanafunzi wote wa IAA campus ya dar Hawajapata mkopo?? Nadhani fatilia hilo kwanza, Na kama upo Arusha fatilia ujue kama kuna watu wamepata mkopo
Ni DMArusha