MSAADA: Nahitaji kubadili Window OS na kuweka softwares kadhaa katika kompyuta yangu

MSAADA: Nahitaji kubadili Window OS na kuweka softwares kadhaa katika kompyuta yangu

MOSintel Inc

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2016
Posts
817
Reaction score
593
Habari za wakati huu wana_jukwaa? Ni imani yangu mtakuwa mnaendelea vyema na majukumu ya kila siku.
Kama heading inavyojieleza, Nahitaji:

1. Kuweka windows 10 pro na drivers zake kwenye Kompyuta ikiwa ni pamoja na Antivirus.

2. Ku install softwares kadhaa katika kompyuta:

I. Adobe : Photoshop, InDesign & Illustrator

II. Figma

III. Canva

IV. Gravit Designer

V. Audacity

VI. QQ player

NIPO DAR ES SALAAM.

Natanguliza shukrani.

Ahsante.
 
Windows 10 ina built in antivirus ipo vizuri tu, kikubwa iwe updated kila mara.
 
Back
Top Bottom