Msaada: Nahitaji kufahamu gharama za kusafirisha Container (empty) kutoka China mpaka Tanzania

Mabala21

Senior Member
Joined
Jul 24, 2021
Posts
139
Reaction score
89
Wadau,

Nataka kusafirisha empty container kutoka China mpaka Tanzania, je ni kiasi gani kusafirisha kwa container na je nitatakiwa kulipa ushuru/kodi yoyote kulitoa bandarini?

Asanteni sana.
 
K
Wadau,

Nataka kusafirisha empty container kutoka China mpaka Tanzania, je ni kiasi gani kusafirisha kwa container na je nitatakiwa kulipa ushuru/kodi yoyote kulitoa bandarini?

Asanteni sana.
Kuna watu wanaagiza mizigo kila siku china, unawasiliana na shiper yeyote kule, anaweka mizigo yake container inakuja kama owners container, ikifika mwenye mzigo anatoa mzigo wake then anakukabidhi container yako. Bure bila kulipia chochote. Ni pm nikupe maelekezo
 
Bingo!
 
Wazo zuri kabisa
 
Shukurani sana sana!
 
Akili kubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…