Msaada; Nahitaji kufahamu Sheria inayomruhusu Afisa mtendaji kata kutumia nguvu kukusanya michango ya maendeleo,

By law ni chanzo cha rushwa.
by-laws zinatungwa kwajiri ya wahusika katika specific area of jurisdiction na katika mchakato wa utungwaji wake wananchi wanahusika , inazingatia isikinzane na sheria mama za nchi kama Kuna hatua ilikiukwa unaweza ku rise objections
 
Kuna kila haja ya kuweka somo la sheria kuanzia shule za msingi mpaka vyuo vikuu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…