theprogrammer C++
Senior Member
- May 17, 2013
- 106
- 226
Ndege za Kigoma mpaka Mwanza zipo mbona, jioni sa 10 leoWakuu nimekuja kwenu Kwa msaada,kama Kuna njia nyengine ya kufika Mwanza kabla ya saa 6 kesho mchana nisaidieni. Nina shughuli muhimu na ninahitajika niwepo mda huo.
Kama Kuna msaada wa optiona nyengine hata private car Niko tayari pia kwenda pamoja na kuchangia chochote.
Asanteni.
Unaenda kufanyaje kwanzaWakuu nimekuja kwenu Kwa msaada,kama Kuna njia nyengine ya kufika Mwanza kabla ya saa 6 kesho mchana nisaidieni. Nina shughuli muhimu na ninahitajika niwepo mda huo.
Kama Kuna msaada wa optiona nyengine hata private car Niko tayari pia kwenda pamoja na kuchangia chochote.
Asanteni.
Kuna basi 24 hrs , sa mbili usku unaamsha DSM , sa 4 asubh upo mwanza , Ila kiukweli ifikie hatua serikali iruhusu mashirika shindani ya ndege , Kwa mwanza abiria ni wengi mno wa ndege , Yani ndani ya masaa 24 hupati tiketi asa ndo niniWakuu nimekuja kwenu Kwa msaada,kama Kuna njia nyengine ya kufika Mwanza kabla ya saa 6 kesho mchana nisaidieni. Nina shughuli muhimu na ninahitajika niwepo mda huo.
Kama Kuna msaada wa optiona nyengine hata private car Niko tayari pia kwenda pamoja na kuchangia chochote.
Asanteni.
Chukua IT zinazoenda Rwanda,Burundi na Congo zinakuacha Tinde,zinapatikana sheli ya ya Oil com pale njia panda ya Keko,Jengo la Water front pale bandarini ndipo zinapotoka au misugusugu mizani yao ilipo njia ya Mlandizi na Ubungo pia unaweza zitega Kila la kheri.Wakuu nimekuja kwenu Kwa msaada, kama Kuna njia nyengine ya kufika Mwanza kabla ya saa 6 kesho mchana nisaidieni. Nina shughuli muhimu na ninahitajika niwepo muda huo.
Kama Kuna msaada wa option nyingine hata private car niko tayari pia kwenda pamoja na kuchangia chochote.
Asanteni.
Upo wapi Kwa sasa!l?Wakuu nimekuja kwenu Kwa msaada, kama Kuna njia nyengine ya kufika Mwanza kabla ya saa 6 kesho mchana nisaidieni. Nina shughuli muhimu na ninahitajika niwepo muda huo.
Kama Kuna msaada wa option nyingine hata private car niko tayari pia kwenda pamoja na kuchangia chochote.
Asanteni.
Chukua IT zinazoenda Rwanda,Burundi na Congo zinakuacha Tinde,zinapatikana sheli ya ya Oil com pale njia panda ya Keko,Jengo la Water front pale bandarini ndipo zinapotoka au misugusugu mizani yao ilipo njia ya Mlandizi na Ubungo pia unaweza zitega Kila la kheri.
Zimejaaa mkuuSasa hata hujasema, wewe uko wapi.
Anyway huwa kuna flights za Air Tanzania asubuhi saa 12 na saa 3 kama unatokea dar es salaam
Mi nipo DarSasa hata hujasema, wewe uko wapi.
Anyway huwa kuna flights za Air Tanzania asubuhi saa 12 na saa 3 kama unatokea dar es salaam