Msaada: Nahitaji kufika Mwanza saa 7 mchana kesho na ndege zimejaa, kuna option nyingine yoyote?

Umechelewa Dakika 8. Saa 10 kamili costa ya kwanza inaondoka toka Ubungo Kibo to Kahama.

Costa ya Pili inaondoka saa 12 na nusu hadi moja kamili. Ubungo Kibo to Kahama.

Wahi ushuke Tinde kesho asubuhi, then unaunga Mwanza. Saa 7 mchana utakuwa Mwanza.
 
Asante sana mkuu,ntajaribu hii
 
Hizi IT zinaondoka mida Gani?nikienda pale keko saa 12 jioni naweza PATA?
 
Una namba mkuu?
 
Usijidanganye kuhusu IT, zimepigwa pin kubeba abiria. Gari pekee unazoweza pata ni zile zinazoenda show room Mwanza. Nazo zinagombaniwa balaa.
 
Ila kuna mambo hua yanasikitisha sana....
Hapa mtu anaomba maelekezo utadhani wote tunatokea mpigamiti...🤔
 
Weka 1.8m mezani nikupeleke kwa usafiri wangu.
Tunaanza safari saa 1 usiku mpaka saa 3 asubuhi upo Mwanza. Mwendo rafiki kabisa.
 
Hizi IT zinaondoka mida Gani?nikienda pale keko saa 12 jioni naweza PATA?
Muda wowote zinatembea ila nyingi ni jioni kianzia saa 12 au saa 1usiku Kuna mdau hapo juu kasema zinepigwa pin IT Sina hakika maana siku zote haziruhusiwi ila zinabeba abiria ila iyo njia magari ni mengi sogea barabarani tu usafiri unapata.
 
Hizi IT zinaondoka mida Gani?nikienda pale keko saa 12 jioni naweza PATA?
Chief IT sikuhizi hawapakii abiria ila nenda pale Kimara korogwe utapata private ni nyingi sana. Mi nikiwa na haraka kwenda mkoa huwa naenda pale muda wowte unapata gari utawahi.
 
Precision air inanafasi kuondoka Dar 09h05 kufika mwanza at 12h25. ina stop moja ila naona itakaa sana njiani;
Seat zimebaki zile za bei juu kwenye 465K kama utafika bei unaweza kuingia online ukabook
 
Siku hizi bus ni 24hrs labda kama unataka kutuonesha una maisha ya kuweza kupanda ndege
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…