BABU KIDUDE JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 1,587 Reaction score 916 Sep 27, 2015 #1 Mambo bipi waungwana, poleni na majukumu, Naomba msaada waungwana nataka kufungua kibanda kuuzia umeme wa luku wa Tanesco moja kwa moja naomba utaratibu mwenye ujuzi na uelewa
Mambo bipi waungwana, poleni na majukumu, Naomba msaada waungwana nataka kufungua kibanda kuuzia umeme wa luku wa Tanesco moja kwa moja naomba utaratibu mwenye ujuzi na uelewa
Chinekeee Member Joined Aug 20, 2014 Posts 86 Reaction score 30 Sep 27, 2015 #2 Nenda ofice za tanesco ubungo au magomeni watakupa utaratibu