Msaada: Nahitaji kufungua biashara ya LUKU

Msaada: Nahitaji kufungua biashara ya LUKU

BABU KIDUDE

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
1,587
Reaction score
916
Mambo bipi waungwana, poleni na majukumu, Naomba msaada waungwana nataka kufungua kibanda kuuzia umeme wa luku wa Tanesco moja kwa moja naomba utaratibu mwenye ujuzi na uelewa
 
Back
Top Bottom