kalendi JF-Expert Member Joined Mar 17, 2012 Posts 1,334 Reaction score 527 Feb 11, 2020 #1 Wasaalamu wandugu! Jamaa yangu kaniletea iPad sijui hata model haina WhatsApp. Nahangaika namna ya kuingiza yangu jana bado inanizingua. Msaada wandugu nifanyeje ili niweke WhatsApp?
Wasaalamu wandugu! Jamaa yangu kaniletea iPad sijui hata model haina WhatsApp. Nahangaika namna ya kuingiza yangu jana bado inanizingua. Msaada wandugu nifanyeje ili niweke WhatsApp?
Echolima JF-Expert Member Joined Oct 28, 2007 Posts 3,824 Reaction score 2,079 Mar 6, 2020 #2 Nenda Settings then About,Model kujua ni Ipad gani