Msaada: Nahitaji kuingiza WhatsApp kwenye Ipad yangu

Msaada: Nahitaji kuingiza WhatsApp kwenye Ipad yangu

kalendi

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2012
Posts
1,334
Reaction score
527
Wasaalamu wandugu!

Jamaa yangu kaniletea iPad sijui hata model haina WhatsApp. Nahangaika namna ya kuingiza yangu jana bado inanizingua.

Msaada wandugu nifanyeje ili niweke WhatsApp?
 
Nenda Settings then About,Model kujua ni Ipad gani
 
Back
Top Bottom