Manton JF-Expert Member Joined Mar 27, 2012 Posts 1,163 Reaction score 1,523 May 9, 2021 #1 Salam kwenu, wakuu. Naomba kujua mahali ambapo naweza kuuza lulu aina ya "akoya" kwa Dar es salaam, duka lilipo, ili nipate kufika kufanya biashara. Naomba msaada wa anwani yao. Endapo kuna mtu anahitaji naye anaweza kununua.
Salam kwenu, wakuu. Naomba kujua mahali ambapo naweza kuuza lulu aina ya "akoya" kwa Dar es salaam, duka lilipo, ili nipate kufika kufanya biashara. Naomba msaada wa anwani yao. Endapo kuna mtu anahitaji naye anaweza kununua.