Powder
JF-Expert Member
- Jan 6, 2016
- 4,977
- 6,635
Wakuu!
Naomba kujuzwa taratibu na sifa za kupata Leseni ya Super dealer....
Wapi inatolewa, natakiwa kuwa na sifa zzipi? Ni lazima niwe na Kampuni?
Leseni nnayotaka ni Super dealer ambayo itaniwezesha kusafirisha Gold nje ya nchi, Je! Nahitaji tena leseni nyingine kwa ajiri Manunuzi ya ndani? Au nikiwa na hiyo Super Dealer naweza kununua Local?
Sitaki kusafirisha madini kwa njia za Panya, nataka nikate Leseni ili nilipe Kodi Stahiki....
Karibu kwa ushauri au msaada.