Msaada: Nahitaji kukata leseni ya kusafirisha madini hasa dhahabu nje ya nchi

Msaada: Nahitaji kukata leseni ya kusafirisha madini hasa dhahabu nje ya nchi

Yeah! Nafahamu kuhusu Gold Detector, sio mbaya kama utaniunganisha na huyo Jamaa.
IMG-20171128-WA0012.jpeg
IMG-20171128-WA0011.jpeg
 
Wameshusha sana,master dealer Ilikuwa zaidi ya Mln 2 sahv ni 700000/ ama pungufu ya kidogo ya hiyo mkuu
Mimi huwa natumia broker license tu
Ila gold huwa ina broker license lkn wanai categorise kwenye upande wa gold na metals zingine haiko pamoja na precious stones

Ova
Ok nimekusoma mkuu. Ivi una experience na wanunuzi wa mtandaoni mkuu? Sorry lakini nimeuliza nje ya mada pia kwenye uzi wa watu
 
Ok nimekusoma mkuu. Ivi una experience na wanunuzi wa mtandaoni mkuu? Sorry lakini nimeuliza nje ya mada pia kwenye uzi wa watu
Wanunuzi wa mtandaoni huwa Siyo wote wa kuwaamini,mtu anakuambia Tuma mzigo Ukifika ndy anakufanyia malipo....miaka ya nyuma walituliza sana....ila na wao tukuwambia watume hela tuwatumie mzigo nao wanasema nao watapigwa...hapo ndy Patamu
Ila nshawahi kuwasiliana sana na buyer nmoja wa mtandaoni Mpk mwisho wa siku akaja tz tukaonana physicaly

Nimekusoma mkuu. Na asante sana ubarikiwe
 
Mashine hyo badala ya kuchekecha dhahabu ya Mtoni kwa chekeche ile mashine inachekecha udongo ukatoa uweka na inakamata gold fasta
Kifusi cha tani 10 kinakatika kama upepo Yaani
Nta uppload picha yake uione

Ova
Okay! Basi sio Detector....ila naelewa pia machine unayozungumzia.
 
Shukrani Mkuu, kwa Ku share na sisi kile unachojua....

So hiyo Machine ni Vibration? Na hapo ni full package kit?
Kwa sasa inauzwa bei gani?
Mara ya mwisho ya jamaa yangu aliinunua $2800,inakuwa complet set Yaani n'a Pump yake ya kutumia petrol na hos ya 2"

Ova
Hahahaa! Basi nishakuelewa Mkuu, si wengine tumeshazoea kina Mwajuma Ndala ndefu, hao masuper star sio zetu.
 
Wakuu!
Naomba kujuzwa taratibu na sifa za kupata Leseni ya Super dealer....

Wapi inatolewa, natakiwa kuwa na sifa zzipi? Ni lazima niwe na Kampuni?

Leseni nnayotaka ni Super dealer ambayo itaniwezesha kusafirisha Gold nje ya nchi, Je! Nahitaji tena leseni nyingine kwa ajiri Manunuzi ya ndani? Au nikiwa na hiyo Super Dealer naweza kununua Local?

Sitaki kusafirisha madini kwa njia za Panya, nataka nikate Leseni ili nilipe Kodi Stahiki....

Karibu kwa ushauri au msaada.
nashauri uende TMAA au STAMICO ukiweza nenda ofisi za madini kanda utakutana na zone officers watakupatia maelekezo vizuri tu.binafsi ni gemstone dealer kanda ya kati na import na export gems kanda hii.
asante sana

Msaada zaidi na muongozo juu ya hili ,tafadhari.
 
Msaada zaidi na muongozo juu ya hili ,tafadhari.
Mkuu kama upo Dar nakushauri uende office za Madini pale Upanga..

Kipindi kile kwa ushauri wa Wadau nilienda mwenyewe, nilipewa Info za kutosha, sema ndo wakashauri inabidi nisubiri Mh. Rais atapounda ile Bodi Mpya nirudi tena, coz may be Bodi mpya ikaja na Mabadiriko flani juu ya taratibu mbalimbali!

So binafsi najiandaa kwenda Mwezi ujao...
Kama wewe upo Dar sogea pale Upanga.
 
Back
Top Bottom