nashauri uende TMAA au STAMICO ukiweza nenda ofisi za madini kanda utakutana na zone officers watakupatia maelekezo vizuri tu.binafsi ni gemstone dealer kanda ya kati na import na export gems kanda hii.Wakuu!
Naomba kujuzwa taratibu na sifa za kupata Leseni ya Super dealer....
Wapi inatolewa, natakiwa kuwa na sifa zzipi? Ni lazima niwe na Kampuni?
Leseni nnayotaka ni Super dealer ambayo itaniwezesha kusafirisha Gold nje ya nchi, Je! Nahitaji tena leseni nyingine kwa ajiri Manunuzi ya ndani? Au nikiwa na hiyo Super Dealer naweza kununua Local?
Sitaki kusafirisha madini kwa njia za Panya, nataka nikate Leseni ili nilipe Kodi Stahiki....
Karibu kwa ushauri au msaada.
Shukrani Mkuu! Na unahitaji Kuwa na Kampuni kupata hiyo leseni au hata Individuals wanaruhusiwa?nashauri uende TMAA au STAMICO ukiweza nenda ofisi za madini kanda utakutana na zone officers watakupatia maelekezo vizuri tu.binafsi ni gemstone dealer kanda ya kati na import na export gems kanda hii.
asante sana
Ndiyo....ila ili ujiridhishe ntaku pm namba ya jamaa wa hapo wizarani utabonga naye zaidi....na ku pmShukrani Mkuu, una idea yoyote ya bei ya sasa?
Nshaku pm # yke mkuu kazi kwakoShukrani Mkuu, una idea yoyote ya bei ya sasa?
Usijali si unajua tunapeana channel hutakiwi kuwa mchoyo [emoji1]Ubarikiwe Mkuu!
Kuna jamaa yangu ana machine ya kukamatia dhahabu ya Mtoni(vikole)You are a good man!
Blessing....!
Okay! Itakua poa, nahisi unaongelea Gold Detector?Kuna jamaa yangu ana machine ya kukamatia dhahabu ya Mtoni(vikole)
Tukionana ntaku link naye Ana maji e zingine pia....shida mm nimebobea sana kwenye semi precious stones na industrial minerals
Ova
Wameshusha tshs ngapi sasa?Super dealer ni master dealer license sahvi tena bei serikali wameshusha ya kukatia leseni
Ukiwa na hyo unafanya kila kitu kitu
Ova
Hiyo ina detect na kukamata dhahabuOkay! Itakua poa, nahisi unaongelea Gold Defector?
Wameshusha sana,master dealer Ilikuwa zaidi ya Mln 2 sahv ni 700000/ ama pungufu ya kidogo ya hiyo mkuuWameshusha tshs ngapi sasa?
Mashine hyo badala ya kuchekecha dhahabu ya Mtoni kwa chekeche ile mashine inachekecha udongo ukatoa uweka na inakamata gold fastaYeah! Nafahamu kuhusu Gold Detector, sio mbaya kama utaniunganisha na huyo Jamaa.
Mambo Ndugu nimekupm naomba uangalienashauri uende TMAA au STAMICO ukiweza nenda ofisi za madini kanda utakutana na zone officers watakupatia maelekezo vizuri tu.binafsi ni gemstone dealer kanda ya kati na import na export gems kanda hii.
asante sana