Mkuu kama upo Dar nakushauri uende office za Madini pale Upanga..
Kipindi kile kwa ushauri wa Wadau nilienda mwenyewe, nilipewa Info za kutosha, sema ndo wakashauri inabidi nisubiri Mh. Rais atapounda ile Bodi Mpya nirudi tena, coz may be Bodi mpya ikaja na Mabadiriko flani juu ya taratibu mbalimbali!
So binafsi najiandaa kwenda Mwezi ujao...
Kama wewe upo Dar sogea pale Upanga.