Wakuu nategemea wote mko salama
Nina plan yangu ya biashara na kwa kiasi fulani nimeshaanza kuitekeleza kwa kuandaa mashine na baadhi ya malighafi.
Sasa nimekwama kiasi cha shilingi 600,000/= laki sita tu ili niweze kujiongeza hapo tayari kwa uzalishaji. Sasa kwa yeyote mwenye mapenzi mema anayeweza kunikopesha kiasi hicho cha pesa naomba ani PM then nitampa detailed zangu muhimu.
Nategemea kurudisha hiyo pesa ndani ya miezi miwili na hata kwa riba endapo tutafikia makubaliano, tafadhali.
Najua hapa huwa hapaharibikagi jambo.
Niko dar, business iko kigamboni
Nawasilisha