Msaada: Nahitaji kukopeshwa kwa ajili ya kufanya Biashara.

Msaada: Nahitaji kukopeshwa kwa ajili ya kufanya Biashara.

TAI DUME

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
9,748
Reaction score
26,238
Wakuu nategemea wote mko salama

Nina plan yangu ya biashara na kwa kiasi fulani nimeshaanza kuitekeleza kwa kuandaa mashine na baadhi ya malighafi.
Sasa nimekwama kiasi cha shilingi 600,000/= laki sita tu ili niweze kujiongeza hapo tayari kwa uzalishaji. Sasa kwa yeyote mwenye mapenzi mema anayeweza kunikopesha kiasi hicho cha pesa naomba ani PM then nitampa detailed zangu muhimu.
Nategemea kurudisha hiyo pesa ndani ya miezi miwili na hata kwa riba endapo tutafikia makubaliano, tafadhali.
Najua hapa huwa hapaharibikagi jambo.
Niko dar, business iko kigamboni

Nawasilisha
 
Mkuu kawoli ngoja nikuitie Mkuu mafiakisiwani pengine anaweza kutatua hitaji lako.
Ila nakushauri uweke hints za mladi wako ili wadau waweze kufunguka vizuri. Mathalani mladi wa ufugaji wa kuku kuna banks wanaweza kutatua shida yako kwa masharti nafuu kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom