Asante kwa ushauri!tutajaribu kulijadili hili.barikiwaKwa nini ununue wakati unaweza jenga hiyo nyumba ya kununua in a month at fair cost kuliko kununua at a market price?
Nunua kiwanja sio nyumba, Tena Kasulu hata katikati ya mji naamini bado utapata kiwanja at reasonable price.
siku zote mtu akiuza nyumba in principle anachouza ni kiwanja. Utajikuta unanunua banda la kufugia mbuzi kwa Mil 200
Asante sana.Nikupongeze tu kwa kufikiria jambo jema km hilo