Habari zenu wakuu!yeyote anaeweza kuwa anafahamu/kuuza NYUMBA wilayani kasulu(kasulu mjini) naomba anifahamishe.nyumba kuanzia vyumba vitatu na iwe na choo cha ndani.Anifahamishe tu eneo aliko na mawasiliano yake anaweza kunipm.nitapata nafasi ya kutembelea eneo jumamosi na jumapili.Asanteni sana na majukum mema kwa Siku ya Leo.