Ila hizi Samsung za laki 2 software yake sio nzuri kihivyo. Ile ni One UI Core sio pure kama ya kwenye A35Thubutuuu.... samsung ni samsung hata iwe ya laki mbili, unapata software kaliii, kitu laini kama maini
Note series walifunga uzalishaji wake, kwasasa ni S series tu ndio inatoka na hata S pen unaikuta hukoKo una taka ubishane kuwa hiyo a yako ni more performing than note 10 nafwaaπ€.
Bro Baada ya note 10 Kuna release ngapi ya simu za note, halafu cheki na hiyo a 35 halafu ulinganishe uwezo.
Najua sana hilo, ya mwisho note 20Note series walifunga uzalishaji wake, kwasasa ni S series tu ndio inatoka na hata S pen unaikuta huko
Kwa sasa ni bora uwe na Galaxy A35 kuliko Note 10Ko una taka ubishane kuwa hiyo a yako ni more performing than note 10 nafwaaπ€.
Bro Baada ya note 10 Kuna release ngapi ya simu za note, halafu cheki na hiyo a 35 halafu ulinganishe uwezo.
mkuu kila la kheri, tuishie hapa. Maana siwezi kuupigia mlima Ngoma.Kwa sasa ni bora uwe na Galaxy A35 kuliko Note 10
Umeacha kuwasifia wale wachina wa chiomi siku hizi?Ila hizi Samsung za laki 2 software yake sio nzuri kihivyo. Ile ni One UI Core sio pure kama ya kwenye A35
Tumeangalia Samsung A04, hata screen mirroring (cast) hakuna
Kwenye Samsung inaitwa Smart View
Namna ulivyoweka hilo swali ni kama ina ugomvi na mimi au kampuni. Chiomi ndio nini?Umeacha kuwasifia wale wachina wa chiomi siku hizi?
Kabla ya kununuaWakuu kama heading inavyosema naomba wenye uzoefu wanipe muongozo.Sitaki bidhaa ya Dubai.
Leta ushuhuda wako pia kwa simu ya Samsung unayotumia.
Nawezaje kujua simu fake na Original?.
Nina 550k
X#0*# iyo X mbn ham haielewek namb ya kuiwek paleKabla ya kununua
Andika
X#0*#
Ukiona zimeandikwa aina za rangi kwa juu blue red green bonyexa green screen itakuwa green HAPO umepata origin
hapo kila mtu atumie kitu roho inapenda,mkuu kila la kheri, tuishie hapa. Maana siwezi kuupigia mlima Ngoma.
Hivi mkuu umewahi kuona duka linalouza Samsung Galaxy Note 10 mpya full box 2025?hapo kila mtu atumie kitu roho inapenda,
kuna jamaa yangu ni mnazi wa samsung,, ila sasa namuona kama msumbufu, kila nikimfosia S series na N series, anaruka ruka tu ohh mara bei kubwa, nikamwambia ok chukua basi A series π,, napo anaruka ruka tu, kuna watu wanapenda vitu vikali ila sasa bahili kishenz. android anayefanya vzuri ni samsung, japokuwa mie ni mnazi wa kutupwa wa sony xperia i - vii π
Huawei nayo ni chuma na nusu, nili mkuta mdada fulani anayo ni π₯ π₯.hapo kila mtu atumie kitu roho inapenda,
kuna jamaa yangu ni mnazi wa samsung,, ila sasa namuona kama msumbufu, kila nikimfosia S series na N series, anaruka ruka tu ohh mara bei kubwa, nikamwambia ok chukua basi A series π,, napo anaruka ruka tu, kuna watu wanapenda vitu vikali ila sasa bahili kishenz. android anayefanya vzuri ni samsung, japokuwa mie ni mnazi wa kutupwa wa sony xperia i - vii π
sijaona mkuu,Hivi mkuu umewahi kuona duka linalouza Samsung Galaxy Note 10 mpya full box 2025?
chuma ziko nyingi tu, ni wewe na budget yako,, na unapenda nini, lakin pia kingine ni kama ulevi vile kuna watu wana pesa lakin wanatumia simu za kawaida kabisa, ye muhimu kwa phone umuwekee facebook na whatsup tu, mambo ya Ram haelewiπ, ila sasa sie tunavoangaika.Huawei nayo ni chuma na nusu, nili mkuta mdada fulani anayo ni π₯ π₯.
Ubahili kaka hata mimi ninao Sanaπ
Naam mchawi mtonyo, namjua mtu ana tumia s24 oya hiyo s22 ni ardhi na mbinguchuma ziko nyingi tu, ni wewe na budget yako,, na unapenda nini, lakin pia kingine ni kama ulevi vile kuna watu wana pesa lakin wanatumia simu za kawaida kabisa, ye muhimu kwa phone umuwekee facebook na whatsup tu, mambo ya Ram haelewiπ, ila sasa sie tunavoangaika.