Hapana. Redmi zipo faster, hazistack ovyo
Cha msingi nunua Redmi nzuri, maana Redmi zipo hadi za chini kama "Redmi A5" ambazo sio nzuri
Yani kwa Samsung ni kama vile uende kununua "Samsung Galaxy A03 Core", hauta enjoy uzuri wa Samsung: ndio kama hiyo Redmi A5
Ulete mrejesho bossNashukuru sana mkuu Reuben Challe
Lengo langu ni kuinunua Xiaomi (Redmi Note 14 Pro) baada ya kunishawishi kama hivi.
Naomba nijue pia namna ya kuithibitisha kuwa sio fake ili nisisumbuke sana kuzunguka maduka na kutafuta huruma ya wauzaji ambao wengi sio wakweli. Ningekuwa Mbeya ningekuja kwenye duka tajwa ila kwa sasa niko Dar.
Natanguliza shukrani mkuu.
So nyie mnauza original?Hapana. Redmi zipo faster, hazistack ovyo
Cha msingi nunua Redmi nzuri, maana Redmi zipo hadi za chini kama "Redmi A5" ambazo sio nzuri
Yani kwa Samsung ni kama vile uende kununua "Samsung Galaxy A03 Core", hauta enjoy uzuri wa Samsung: ndio kama hiyo Redmi A5
Hamna mimi siuzi simuSo nyie mnauza original?
Jichanganye, utalia sasa hiviSijui nihamie REDMI nitest na huko maana nimetumia Samsung muda mrefu.Hivi hazina mambo ya kustack?
Sure, kama kuna duka unalifahamu kariakoo wanauza simu genuine kwa bei nzuri nielekeze nisisumbuke kutangatanga mkuuUlete mrejesho boss
A series hakuna simu hapoA series zipo vizuri sana
Mkuu Redmi ni simu nzuri sana. Mtu yoyote asikupotosheDuuhπππ
kuna jamaa anajiita samsung used tz toka dubai... kwa hiyo bei unapata s22 kalii sana na haina changamotoo tajiriWakuu kama heading inavyosema naomba wenye uzoefu wanipe muongozo.Sitaki bidhaa ya Dubai.
Leta ushuhuda wako pia kwa simu ya Samsung unayotumia.
Nawezaje kujua simu fake na Original?.
Nina 550k
Ila A series sijawahii kuielewa kabisaa.Tofauti sio brand. Software ya Samsung A series huwezi fananisha na ya Tecno au Infinix, plus zinapokea update hadi miaka 5, na kuna A36 na A56 zenyewe zinapokea updates hadi 7 years tofauti na Tecno ambazo zenyewe zinapata update miaka 2, ikizidi sana miaka 3
Kwa bei ya mleta mada A35 ni simu nzuri sana.
Namna ulivyoweka hilo swali ni kama ina ugomvi na mimi au kampuni. Chiomi ndio nini?
Mimi mpaka leo natumia Xiaomi na next year naenda kubadilisha simu. Nanunua Xiaomi nyingine. Kama nimepata sehemu ambayo moyo wangu umetulia kwa nini nijisumbue?
HahahaUngetaja Samsung nini? TV,washing machine, simu n.k
Kwa maisha na vipato vyetu ni simu nzuri mkuuA series hakuna simu hapo
We kenge maji nani ana panda v8 boya wee, mi natembeaga kwa mguuHizo ulizozitaja inawafaa wapanda vieite ila sio sisi
Yani ni moja ya cheap na series mbovu sanaa bora hata J series japo haipo tena..! Ishafika A52 Sijui kisa siku ni wanatoa toleo jipya π π πA series hakuna simu hapo
Kwel kabisa mshikaji jau huyoUnazingus kinoma kwaninwewe hujaelewa nini