Msaada: Nahitaji kusoma Bachelor degree ya pili

Tobido

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2010
Posts
331
Reaction score
76
Habari Wadau.

Mimi nmehitimu chuo this year ila nina mpango mwakani wa kusoma bachelor degree nyingine. Naomba msaada wa procedures hasa pale loans board ili niweze pata mkopo tena sababu TCU najua hawana shida.

Thanks in advance.
 
Habari Wadau,

Mimi nmehitimu chuo this year ila nina mpango mwakani wa kusoma bachelor degree nyingine.

Naomba msaada wa procedures hasa pale loans board ili niweze pata mkopo tena sababu TCU najua hawana shida.

Thanks in advance.
 
Tafuta kazi upate experience na skills. Hata kama una masters kama hauna uzoefu ni kazi bure. Acha uoga wa maisha kijana. Ukikaa sana mtaani utatia akili tu kwa kuwa watu wana advance diploma tu na wanashika madaraka makubwa serikalini na kuwaongoza wenye masters hata na CPA. Michongo ndio kila kitu.
 

You are right but nna malengo mengine
 
kuwa mzalendo, waachie wadogo zetu wapate mikopo acha kuwajazia nafasi. kama vipi kajilipie.
 
LOAN BOARD kwa mm navyojua n kuwa walishaacha kuwadhamini wanafunzi wanaosoma MASTERS na kuendelea labda kuwe kumebadlika mfumo
 
kuwa mzalendo, waachie wadogo zetu wapate mikopo acha kuwajazia nafasi. kama vipi kajilipie.

But huo mkopo c nitaulipa. Cdhan kama nitakua kikwazo kwa wengine.
 
nenda hslb makao makuu utapata utaratibu mzuri,hum jf utanzingua 2
 
Mkuu hii ni kuziba nafasi za wenzio tu? Umekwama nini mpaka uwaze kwenda tena miaka mingine mitatu au minne kusoma level ileile? Elimu yetu majanagaaa, mtu unatoka chuo elimu haijakusaidia? Jiajiri kijana!
 
Kwan bachelor yako ya mwanzo ni ya fani gani?
 
Habari Wadau.
Mimi nmehitimu chuo this
year ila nina mpango
mwakani wa kusoma
bachelor degree nyingine.
Naomba msaada wa
procedures hasa pale loans
board ili niweze pata
mkopo tena sababu TCU
najua hawana shida.
Thanks in advance.

acha hizo mkuu, kwa nn uwazibie watoto wa wakulima ambao wanatafuta nafasi ya kusoma? Kama unataka kusoma level ileile ni bora ujilipie mwenyewe na sio kuisumbua serikali. Mimi nakushauri itumie hiyohiyo degree yako ya kwanza pia siku nyingine uwe makini unapochagua taaluma ya kusoma sio unakurupuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…