Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafuta kazi upate experience na skills. Hata kama una masters kama hauna uzoefu ni kazi bure. Acha uoga wa maisha kijana. Ukikaa sana mtaani utatia akili tu kwa kuwa watu wana advance diploma tu na wanashika madaraka makubwa serikalini na kuwaongoza wenye masters hata na CPA. Michongo ndio kila kitu.
kuwa mzalendo, waachie wadogo zetu wapate mikopo acha kuwajazia nafasi. kama vipi kajilipie.
LOAN BOARD kwa mm navyojua n kuwa walishaacha kuwadhamini wanafunzi wanaosoma MASTERS na kuendelea labda kuwe kumebadlika mfumo
mi nilivyoona unasema degree ya pili nilidhani Masters kumbe co duuh kujieleza shida ata ukiwa umemaliza chuome nahitaji bachelor nyingine
Habari Wadau.
Mimi nmehitimu chuo this
year ila nina mpango
mwakani wa kusoma
bachelor degree nyingine.
Naomba msaada wa
procedures hasa pale loans
board ili niweze pata
mkopo tena sababu TCU
najua hawana shida.
Thanks in advance.