Msaada: Nahitaji kutengeneza 15,000 Tsh kwa siku

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,156
Reaction score
10,974
Na hili nalo mkalitizame

Naombeni mwongozo wa biashara yoyote halali ya kufanya kwa hapa Dar es salaam itakayoniwezesha kutengeneza 10k hadi 15k kwa siku.

Biashara iwe ya mtaji kati ya 100k na 200k na inayohitaji mazingira rafiki ya utendaji kazi, pia isiyo na changamoto nyingi

Nawasilisha
 
angalia unapokaa mtaani au sehemu hyo unayoishi kuna nini kinakosekan alfu kinahitajika kwa sana au kitu au huduma utakayo ileta watu watakayo ipenda au kuinunua kiulaini

1 Kama ni nafaka mchele mahindi ww zama kijijini chukua mzgo

,2 au mavazi nguo au viatu vkali sana pea ata 5, ingia kariakoo chukua bidhaa ambayo ata kama mtu asipo nunua ataitazama mara mbilimbili

3 Kama kuna xhida ya kuku, bata , au mayai zama vijijini ndannindani chukua mzgo

4 Au anza biashara ya matunda nunua matunda ndiz, iparachichi, embe nk
Tafta ndoo , maji safi sahani kadhaa kakabati ka kiaina , benchi na location ambay watu hukutana san mfano bus stop au mbele y hotel ambap watu weng huend au kijiweni. anza kuuza matunda , ww unakat mtu anakaa kweny benchi anakul kweny sahan akimaliz anasep
5 kama upepo wakutembez sambusa,mayai, ice cream, jojo na pipi, karanga ufut a anza kazi

6 au mcheki mtu alieanzsha biashar wekeza fedha au partnership mta gawana kitakacho patikana mfno kam ni y chips ila anash y fedha mkubaliane au mama ntilie au wauza soko ukubaliane mwaga pesa

Natzan utapta kitu apo.....
 
Kidogo namba nne imekaa kisomi zaidi, shukrani
 
Na hili nalo mkalitizame

Naombeni mwongozo wa biashara yoyote halali ya kufanya kwa hapa Dar es salaam itakayoniwezesha kutengeneza 10k hadi 15k kwa siku.

Biashara iwe ya mtaji kati ya 100k na 200k na inayohitaji mazingira rafiki ya utendaji kazi, pia isiyo na changamoto nyingi

Nawasilisha
Kijiwe cha kusafisha kucha kwa wadada
 
fanya fund viatu, tafuta maeneo ya sokon maana wakinamama utawapata 2, laki inatosha sana na chenj inarud. sindan tengene9 mwenyew, ninajamaa anaingiza 15 kwa siku, ana mkopo maendeleo benk wa milion 2. analipa marejesho kila wiki.
 
Back
Top Bottom