Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Banda la chips wakat ana laki 2!?Fungua Banda la chips
Mkuu, uzoefu na upishi wa chips ndo sinaFungua Banda la chips
angalia unapokaa mtaani au sehemu hyo unayoishi kuna nini kinakosekan alfu kinahitajika kwa sana au kitu au huduma utakayo ileta watu watakayo ipenda au kuinunua kiulainiNa hili nalo mkalitizame
Naombeni mwongozo wa biashara yoyote halali ya kufanya kwa hapa Dar es salaam itakayoniwezesha kutengeneza 10k hadi 15k kwa siku.
Biashara iwe ya mtaji kati ya 100k na 200k na inayohitaji mazingira rafiki ya utendaji kazi, pia isiyo na changamoto nyingi
Nawasilisha
Sasa mkuu, ushawahi sikia wapi FOREX ya kuanzia 200k?Forex
Kidogo namba nne imekaa kisomi zaidi, shukraniangalia unapokaa mtaani au sehemu hyo unayoishi kuna nini kinakosekan alfu kinahitajika kwa sana au kitu au huduma utakayo ileta watu watakayo ipenda au kuinunua kiulaini
1 Kama ni nafaka mchele mahindi ww zama kijijini chukua mzgo
,2 au mavazi nguo au viatu vkali sana pea ata 5, ingia kariakoo chukua bidhaa ambayo ata kama mtu asipo nunua ataitazama mara mbilimbili
3 Kama kuna xhida ya kuku, bata , au mayai zama vijijini ndannindani chukua mzgo
4 Au anza biashara ya matunda nunua matunda ndiz, iparachichi, embe nk
Tafta ndoo , maji safi sahani kadhaa kakabati ka kiaina , benchi na location ambay watu hukutana san mfano bus stop au mbele y hotel ambap watu weng huend au kijiweni. anza kuuza matunda , ww unakat mtu anakaa kweny benchi anakul kweny sahan akimaliz anasep
5 kama upepo wakutembez sambusa,mayai, ice cream, jojo na pipi, karanga ufut a anza kazi
6 au mcheki mtu alieanzsha biashar wekeza fedha au partnership mta gawana kitakacho patikana mfno kam ni y chips ila anash y fedha mkubaliane au mama ntilie au wauza soko ukubaliane mwaga pesa
Natzan utapta kitu apo.....
Mkuu, mwongozo wa biashara ya matunda! Ngoja nije PMUza matunda. Utanikumbuka
Hahaha forex ni biashara ya msimu? Hahaha jamaa yangu unachekesha kinoma🤣🤣🤣🤣🤣Sasa mkuu, ushawahi sikia wapi FOREX ya kuanzia 200k?
Hiyo ni biashara ya 1m ili kupata faida inayoeleweka, kumbuka hiyo biashara ni ya msimu!
Huo ni mtaji mkubwa sana ..muongozo nakupa hapa hapa wengine waoneMkuu, mwongozo wa biashara ya matunda! Ngoja nije PM
Msimu?Sasa mkuu, ushawahi sikia wapi FOREX ya kuanzia 200k?
Hiyo ni biashara ya 1m ili kupata faida inayoeleweka, kumbuka hiyo biashara ni ya msimu!
Kijiwe cha kusafisha kucha kwa wadadaNa hili nalo mkalitizame
Naombeni mwongozo wa biashara yoyote halali ya kufanya kwa hapa Dar es salaam itakayoniwezesha kutengeneza 10k hadi 15k kwa siku.
Biashara iwe ya mtaji kati ya 100k na 200k na inayohitaji mazingira rafiki ya utendaji kazi, pia isiyo na changamoto nyingi
Nawasilisha