Msaada: Nahitaji kutuma pesa India kwa kutumia Money transfer ya CRDB BANK

nordenconrad

Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
26
Reaction score
2
Nataka kutuma pesa kwenda india, kwa kupitia money transfer ya CRDB BANK ninaimport kifaa. Sasa tatizo linakuja invoice kampuni walinitumia ina details za payment hii ikiwemo correspondent bank ambayo ni ya USD (citi bank america) lakini form CRDB walionipa haina nafasi ya kujaza correspondent bank.

Naombeni ushauri kama kuna benki ingine yenye urahisi wa kutuma. Nimeattach picha hapa io kwenye box nyekundu ndo available kujaza kwenye form ya crdb izo details nne zingine zinajazwa wapi!?

 


Mkuu, adjust title kuna typo error
 
Kwanini utumie money transfer wakati ili uitumie ni lazima uende huko au huyo mwenye nayo aje? Au unamtumia nauli? Kwa ushauri wangu nenda pale Jolly kuna mhindi anauza huna haja ya kutumia hela nyingi kumsafirisha mtu au wewe kusafiri.

Mghosi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…