nordenconrad
Member
- Feb 2, 2012
- 26
- 2
Nataka kutuma pesa kwenda india, kwa kupitia money transfer ya CRDB BANK ninaimport kifaa. Sasa tatizo linakuja invoice kampuni walinitumia ina details za payment hii ikiwemo correspondent bank ambayo ni ya USD (citi bank america) lakini form CRDB walionipa haina nafasi ya kujaza correspondent bank.
Naombeni ushauri kama kuna benki ingine yenye urahisi wa kutuma. Nimeattach picha hapa io kwenye box nyekundu ndo available kujaza kwenye form ya crdb izo details nne zingine zinajazwa wapi!?

Naombeni ushauri kama kuna benki ingine yenye urahisi wa kutuma. Nimeattach picha hapa io kwenye box nyekundu ndo available kujaza kwenye form ya crdb izo details nne zingine zinajazwa wapi!?