Msaada: Nahitaji majina ya watoto wa Kike na Kiume ya Kiafrika, yasiwe ya Kizungu, Kiarabu wala Kiswahili

Msaada: Nahitaji majina ya watoto wa Kike na Kiume ya Kiafrika, yasiwe ya Kizungu, Kiarabu wala Kiswahili

Rejea kichwa cha habari hapo juu, nahitaji kupata majina ya mtoto wa kike au wa kiume, majina yawe ya kiasili ya Afrika na sio ya kikoloni kwa maana ya Kizungu au Kiarabu, kwa upande wa majina ya Kiswahili pia sitaki, mfano wa majina ya kiswahili ni kama Sikitu, Shida, Masumbuko, Mwamini, Majaliwa, Chuki, n.k

Tafadhali nipe jina na maana yake pia nijulishe ni la jinsi ipi ke au me,

Karibuni wadau.
Makonda
Magufuli
Masanja
 
Lingekuwa langu halisi ningevimba 😅

Mshawishi ampatie langu halisi nitakupatia zawadi my friend
Ila ndilo linalo beba utambulisho wako hapa
utafikir nalijua hilo halisi wataka nifunga
Hebu liweke hapa
 
Nyanzobe
Nyabgeta
Nyabirumo
Mazengo
Malugu
Mlugu
Chipegwa
Chipaga
Nyemo
Monywa
Chipaika
Bero
Mboni
Mwanamkasi
Mwanakombo
Shekigenda
Shekinaa
Sululu
Stusi
Simba
Tembo
Mhagama
Mpatama
Nkunja
Njenjemaa
Tuzo
Gyumi
Mwani
Ntonga
Kezia
Heneko
........
 
Back
Top Bottom