Malaika wa Misukosuko
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 2,470
- 7,376
Ahsante sana Shunie wangu jamani [emoji847][emoji3059]Kipenzi changu hongera sana
Lingekuwa langu halisi ningevimba 😅🤣🤣uvimbe upasuke
Majina haya yanatokana na Lugha ya kwanza ya Asili ya Kiafrica Ya Douala (inapatikana Cameroon)
Difum (ufalme)
Wase (Africa)
Mene (Kuona)
Mutatedi (Roho Yenye Nguvu)
In shaa Allah,Kama nitabarikiwa kupata mtoto wa kike nitampa hilo jina Inshallah [emoji120]
Kuna Mayunga namjua, janja janja sana [emoji23]Kulumba= manake shukulu kwa kiswahili
Mabekho= kivuli kwa kiswahili
Nyanza= ziwa kwa kiswahili
Njile
Mayunga
Mabhele
ManyemaKabila gani mkuu
Kabila ni muhimu kwa sababu yanabeba baraka za kimila
MakondaRejea kichwa cha habari hapo juu, nahitaji kupata majina ya mtoto wa kike au wa kiume, majina yawe ya kiasili ya Afrika na sio ya kikoloni kwa maana ya Kizungu au Kiarabu, kwa upande wa majina ya Kiswahili pia sitaki, mfano wa majina ya kiswahili ni kama Sikitu, Shida, Masumbuko, Mwamini, Majaliwa, Chuki, n.k
Tafadhali nipe jina na maana yake pia nijulishe ni la jinsi ipi ke au me,
Karibuni wadau.
Unaweza ukalitumia kwa jinsia zoteHilo Difum nimelielewa zaidi, la jinsia gani?
Mayunga ni Chujio/ Chekecheo la unga wa mahindi 🤣🤣🤣Kuna Mayunga namjua, janja janja sana [emoji23]
Ningepata maana zake, ningefurahiiiiiiItike
Aga
Adjo
Adjoa-wakike
Anda
Ayele
Chipo
Chriki
Ni wewe tu.
Shukrani sanaUnaweza ukalitumia kwa jinsia zote
Mbavu zangu [emoji1787][emoji1787] ndio maana basi na yeye zinaingia na kutokaMayunga ni Chujio/ Chekecheo la unga wa mahindi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
OLichifela
AsanteShukrani sana
Ila ndilo linalo beba utambulisho wako hapaLingekuwa langu halisi ningevimba 😅
Mshawishi ampatie langu halisi nitakupatia zawadi my friend
Asante rafikiIla ndilo linalo beba utambulisho wako hapa
utafikir nalijua hilo halisi wataka nifunga
Hebu liweke hapa