Msaada: Nahitaji majina ya watoto wa Kike na Kiume ya Kiafrika, yasiwe ya Kizungu, Kiarabu wala Kiswahili



Raila - (ME) mtu aletae furaha
 
Chacha
Mwita
Gati
Bhoke
Wankuru
Wakuru
Matinde
Kinanka
Nyanswi
Maswi
Wambura
Robhi
Kimune
Kezia
Marwa
Wariobya
Matiku
Sokolo
Nyangi
Otaigo
Nyagwe
Mnana
Mwikwabe
Marema
Hayo ni majina ya Wakurya.
 

La kiume: Rutashuburugukwa

Lakike: Chausiku

Huu ndio mchango wangu.
 
Omolo
Odinga
Oginga
Otieno
Oboro
Jaran'go
Okello
Onyango
Okanda
Okena
Hayo ni ya kijaluo
 
Chacha
Mwita
Gati
Bhoke
Wankuru
Wakuru
Matinde
Kinanka
Nyanswi
Maswi
Wambura
Robhi
Kimune
Kezia
Marwa
Wariobya
Matiku
Sokolo
Nyangi
Otaigo
Nyagwe
Mnana
Mwikwabe
Marema
Hayo ni majina ya Wakurya.
Kumbe Mnana ni jina la kikurya!!!
Namjua mmoja ni Mrundi
 
Nyanzala, Kalimanzila
 

Ukisikia mwana kulitafuta ndio haya sasamajina ya kibantu asili, pitia kwenye link hii
 
Mwamvua
Chausiku
Atugaline
Mwenemilanzi
Mwananzila
Mwanampepo
Mwananziche
Sinkala
Mwanisao
Kalulu
Chaufi
Maufi
Simbeye
Kasanza
Shampundu
Sangu
Kazonde
Kizito
Ndasi
Chokola
Ntalyoka
Namkonda
Simkonda
Nandi
Msakila
Simya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…