Wandugu ni muda muafaka wa kuachana na mambo ya kukimbizana na polisi,kila mtu afuge tembo wake ili matumizi ya tembo hao aamue mwenyewe.Natafuta mbegu nzuri ya tembo wasiokula sana lakini kwa ajili ya kitoweo na pembe.hivyo mwenye idea wapi ntapata ndovu wazuri anifahamishe.natanguliza shukrani.Ukipata ujumbe huu umjulishe na mwenzako
Nnyo lakini wanahitaji mahali pa kukaa palipo funikwa vizuri ili asipate jua wala mvua. Wao huwa hawali sana huwa wanakula kama tani 1 ya majani kwa siku.Wandugu ni muda muafaka wa kuachana na mambo ya kukimbizana na polisi,kila mtu afuge tembo wake ili matumizi ya tembo hao aamue mwenyewe.Natafuta mbegu nzuri ya tembo wasiokula sana lakini kwa ajili ya kitoweo na pembe.hivyo mwenye idea wapi ntapata ndovu wazuri anifahamishe.natanguliza shukrani.Ukipata ujumbe huu umjulishe na mwenzako