Msaada: Nahitaji Mganga atakayeweza kunisaidia kurudisha mali zangu zilizoporwa

Msaada: Nahitaji Mganga atakayeweza kunisaidia kurudisha mali zangu zilizoporwa

Wakuu nahitaji msaada Mganga wa kuunganishwa na mganga atakayeweza nisaaidia kurudisha mali zangu zilizoporwa, pamoja na kuwa adhibu wahusika, Malipo ni baada ya kazi (vitu kurudishwa na wahusika kufahamika)

Natanguliza Shukrani
Kuna jamaa ana trend sana anaweza kukusaidia.
Majuzi mke wake alichepuka, wakati mke akiwa anatoa penzi haramu kwa dowezi radi iliwashughulikia Hadi mkewe kaenda kuzimu.
Hebu muone huyo mkaka.
 
We panda basi fika pangani au handeni.. sogea kijiwe cha wazee eleza tatizo lako watakuonesha pa kwenda.

Kuna mwanangu aliwai ingia same hapo. Msala wote ofisini ulikua unarukwa tuu kila mtu anakataa kusikiliza kesi yao. Mwishowe akapewa onyo tu la mdomo
 
Asee nilikuwa nawadharau Sana Hawa Watu had pale yalipo nikuta ofisin

Nilipelekwa Tanga sijui kwa msisi ukifika pale mkata unaingia ndan kidogo

Niliporud ofisin nakuta barua ya kuombwa msamaha WAKATI ndio mkosaji


Waganga wapo jamaniii
Mkuu mimi nina ishu ya kesi, je wanasaidia pia?
 
Hakuna mganga Zaid ya Mungu nimeenda Kwa waganga lakin watakuingiza matatizoni mwenyewe .
Kweli kabisa mkuu! Mungu ukimlilia kwa kwa haki na kweli anijibu fasta sana! Mimi kuna wajinga walichukua hela yangu wakakimbia nayo, nikamwachia Mungu apambane nao, cha moto wanakipata!
 
Kazi zote zinaishia pangani...

Kuna mzee alibiwa godoro na vibaka mtaani kwetu..
Akatuaga anaenda kwa wazee wake Pangani,aisee mjamaa alieiba alikufa kama utani vile...
Ngoja afe huyo kibaka alitaka mzee alale wapi aisee
 
Back
Top Bottom