Msaada: Nahitaji namba ya simu ya Msaga Sumu na Snura

Msaada: Nahitaji namba ya simu ya Msaga Sumu na Snura

Kamahotel ni mpya halafu unaleta kigodoro ukitoka hapo si utabidi upake rangi upya hilo vumbi lake
 
Hotel wanapenda miziki ya msaga sumu...kweli pwani wanapenda vigodoro.

Uku mikoani sisi washamba tukienda hotelini tunasikiliza miziki aina hii.
Donwiliam
Jeemreezy
Kenroger
Whtyhouston
Eltonjohn
Michael Jackson
R Kelly
Ladyjaydee
Kidumu

Ukipiga jaqdaniel inashuka bila fujo.

Ukiweka masingeli yako utaishia kutukanwa tuu.

Naona wa mikoani mnawapenda elton john na Gorge Michael sio? .. basi sawa nyi endeleeni tu na ushogga wenu
 
Hotel wanapenda miziki ya msaga sumu...kweli pwani wanapenda vigodoro.

Uku mikoani sisi washamba tukienda hotelini tunasikiliza miziki aina hii.
Donwiliam
Jeemreezy
Kenroger
Whtyhouston
Eltonjohn
Michael Jackson
R Kelly
Ladyjaydee
Kidumu

Ukipiga jaqdaniel inashuka bila fujo.

Ukiweka masingeli yako utaishia kutukanwa tuu.
HIYO KUMBE NI AINA YA MIZIKI? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Back
Top Bottom