Wadau wa magari,
Salaam, radiator ya gari yangu Toyota Hillux 1995, Engine 3Y, chasis YN107 imeanza kunisumbua na leo nahitaji radiator mpya. Nipo hapa Ilala kuna options 2:
Option 1; maduka yanauza mpya za Dubai Option2; wengine wanauza used za Japan
Naombeni ushauri nichukuwe aina gani?
Bei siyo issue sana, issue ni ubora zaidi.