Msaada nahitaji radiator ya gari hapa Dar

Msaada nahitaji radiator ya gari hapa Dar

Entim

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
4,025
Reaction score
2,261
Wadau wa magari,
Salaam, radiator ya gari yangu V8 natafura radiator
 
Wadau wa magari,
Salaam, radiator ya gari yangu Toyota Hillux 1995, Engine 3Y, chasis YN107 imeanza kunisumbua na leo nahitaji radiator mpya. Nipo hapa Ilala kuna options 2:
Option 1; maduka yanauza mpya za Dubai Option2; wengine wanauza used za Japan
Naombeni ushauri nichukuwe aina gani?
Bei siyo issue sana, issue ni ubora zaidi.
Ngoja waje kaka! Wapi Rondo
 
Back
Top Bottom