Msaada: Nahitaji sana hii dawa Gancyclovir 1g tab

Msaada: Nahitaji sana hii dawa Gancyclovir 1g tab

msumeno

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2009
Posts
2,826
Reaction score
1,734
Waungwana najua humu kuna ma pharmacist na hata matabibu waliobobea na hata wagonjwa pia.

Hii dawa ya Gancyclovir ninaihitaji sana kwa ajili ya dada yangu ambae baada ya kufanyiwa endoscopy test kaandikiwa na specialist wa hospital kubwa hapo Dar.

Tumetafuta sana takriban pharmacy zote maarufu tumekosa Dar ni kubwa yawezekana kukawa na pharmacy ambayo dawa hii inapatikana na sisi hatukupita hapo.

Lakini pia kama Kenya , Uganda , Rwanda na sehemu yoyote dawa hii inapatikana please tusaidiane kufahamu maana Dr kasema ni hii tu ndio dawa inayohitajika kwa mgonjwa wangu.

Wasalam
 
Hiyo dawa mbona ni sawa tu na acyclovir!! au hiyo Gancyclovir inatibu ugonjwa gani?
 
hamna ugonjwa unatibiwa na dawa aina moja tu lazma kutakua na m badala wake
medicine are in groups
 
Back
Top Bottom